Unatafuta wakali wa dancehall kutoka Tanzania? Basi, huna budi kumuongeza CRISS-I kwenye orodha yako, maana anaiwakilisha bendera yetu huko Ujerumani kwa kiwango cha kutisha. Huyu hapa leo anakualika kutazama official music video ya ngoma yake No Bad Energy. Video ya ngoma hii iliyotayarishwa na Alien Traxx, imeongozwa na GS.
